NEMC kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Mazingira ya India yakutana na wadau wa Mazingira kutoka ziwa Victoria Tanzania
NEMC kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Mazingira ya India yakutana na wadau wa Mazingira kutoka ziwa Victoria Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Mashirika ya kikanda, Wizara, Mikoa na Halmasahauri kujadili utekelezaji wa mkakati wa usimamizi wa mazingira wa Ziwa hilo
