Cse In News

NEMC YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA TAASISI INAYOJIHUSISHA NA MASUALA YA KIMAZINGIRA INDIA KUDHIBITI TAKA NGUMU

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano na Taasisi inayojishughulisha na masuala ya kisayansi na kimazingira kutoka nchini India ambapo ushirikiano huo utasaidia kufanya maboresho katika ukusanyaji wa taka ngumu. Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka amesema (NEMC) pamoja na Center for Science and Environment wamekusudia kujengeana uwezo na uzoefu kuwa pamoja na kufanya tafiti zinazohusiana na miji yetu katika ukusanyaji taka lakini vilevilekubadilishana uzoefu ambapo baadhi ya wataalamu wao wanaweza kupewa mafunzo. Amesema nia ya mkataba huo uwe wa miaka mitatu kuanzia sasa lakini kutakuwa na uwezekano kuupeleka mbele zaidi lengo kubwa ni kuzipa nguvu Mamlaka za Serikali za Mitaa hasa katika majiji, miji pamoja na Wilaya ndo maana wakurugenzi wameweza kushiriki kwenye mkutano huo ili waweze kubadilishana mawazo na uzoefu ili baadae tuwe na mifumo ya kisasa kuhakikisha taka ngumu zinazozalishwa ziwezwe kutengwa na zisionekane kwenye madampona zile zinazooza ziweze kuwa mbolea. "Suala la taka ngumu limekuwa changamoto katika miji mingi sio Tanzania tu,lakini katikanchi mbalimbali kwahiyo tumekuwa na wenzetu kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Rwanda, Kenya, Uganda, Ethiopia, Eswatini, Ghana , Zambia ambao na wao wametuma wawakilishai wao hapa kuja kujadili na kuweza kubadilishana uzoefu". Amesema Aidha amesema madampo imekuwa mojawapo ya sehemu ambayo ni changamoto na ni gharama katika kuyaendesha katika uksanyaji wa taka ngumu na matokeo yake miji yetu mingi imekuwa ni michafu hivyo kupitia Taasisi hiyo kutoka India ambao wao wamekwenda mbali katika teknolojia hivyo kusaidia kutengeneza mifumo rafiki kwaajili ya kutenga taka ngumu zisiweze kuleta madhara kwenye mazingira. Kwa upande wake Mwakilishi kutoka TAMISEMI, Bi.Hawa Mwechaga amesema TAMISEMI inasimamia halmashauri 184 ambako huko kote kuna taka ngumu kwahiyo kwa kila halmashauri wana idara zinazoratibu uzalishaji wa taka ngumu hivyo wanashirikiana na (NEMC) kuona ni namna gani wanaenda kuboresha Majiji na miundombinu mbalimbali.

NEMC YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA TAASISI INAYOJIHUSISHA NA MASUALA YA KIMAZINGIRA INDIA KUDHIBITI TAKA NGUMU

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano na Taasisi inayojishughulisha na masuala ya kisayansi na kimazingira kutoka nchini India ambapo ushirikiano huo utasaidia kufanya maboresho katika ukusanyaji wa taka ngumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23,2023 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka amesema NEMC pamoja na Center for Science and Environment wamekusudia kujengeana uwezo na uzoefu kuwa pamoja na kufanya tafiti zinazohusiana na miji yetu katika ukusanyaji taka lakini vilevilekubadilishana uzoefu ambapo baadhi ya wataalamu wao wanaweza kupewa mafunzo. Amesema nia ya mkataba huo uwe wa miaka mitatu kuanzia sasa lakini kutakuwa na uwezekano kuupeleka mbele zaidi lengo kubwa ni kuzipa nguvu Mamlaka za Serikali za Mitaa hasa katika majiji, miji pamoja na Wilaya ndo maana wakurugenzi wameweza kushiriki kwenye mkutano huo ili waweze kubadilishana mawazo na uzoefu ili baadae tuwe na mifumo ya kisasa kuhakikisha taka ngumu zinazozalishwa ziwezwe kutengwa na zisionekane kwenye madampona zile zinazooza ziweze kuwa mbolea. "Suala la taka ngumu limekuwa changamoto katika miji mingi sio Tanzania tu,lakini katikanchi mbalimbali kwahiyo tumekuwa na wenzetu kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Rwanda, Kenya, Uganda, Ethiopia, Eswatini, Ghana , Zambia ambao na wao wametuma wawakilishai wao hapa kuja kujadili na kuweza kubadilishana uzoefu". Amesema Aidha amesema madampo imekuwa mojawapo ya sehemu ambayo ni changamoto na ni gharama katika kuyaendesha katika uksanyaji wa taka ngumu na matokeo yake miji yetu mingi imekuwa ni michafu hivyo kupitia Taasisi hiyo kutoka India ambao wao wamekwenda mbali katika teknolojia hivyo kusaidia kutengeneza mifumo rafiki kwaajili ya kutenga taka ngumu zisiweze kuleta madhara kwenye mazingira. Kwa upande wake Mwakilishi kutoka OR TAMISEMI, Bi.Hawa Mwechaga amesema TAMISEMI inasimamia halmashauri 184 ambako huko kote kuna taka ngumu kwahiyo kwa kila halmashauri wana idara zinazoratibu uzalishaji wa taka ngumu hivyo wanashirikiana na NEMC kuona ni namna gani wanaenda kuboresha Majiji na miundombinu mbalimbali.

NEMC KUSHIRIKIANA NA TAASISI INAYOJIHUSISHA NA MASUALA YA KIMAZINGIRA NCHINI INDIA KUDHIBITI TAKA NGUMU NCHINI

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano na Taasisi inayojishughulisha na masuala ya kisayansi na kimazingira kutoka nchini India ambapo ushirikiano huo utasaidia kufanya maboresho katika ukusanyaji wa taka ngumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23,2023 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka amesema NEMC pamoja na Center for Science and Environment wamekusudia kujengeana uwezo na uzoefu kuwa pamoja na kufanya tafiti zinazohusiana na miji yetu katika ukusanyaji taka lakini vilevilekubadilishana uzoefu ambapo baadhi ya wataalamu wao wanaweza kupewa mafunzo. - Advertisement - Amesema nia ya mkataba huo uwe wa miaka mitatu kuanzia sasa lakini kutakuwa na uwezekano kuupeleka mbele zaidi lengo kubwa ni kuzipa nguvu Mamlaka za Serikali za Mitaa hasa katika majiji, miji pamoja na Wilaya ndo maana wakurugenzi wameweza kushiriki kwenye mkutano huo ili waweze kubadilishana mawazo na uzoefu ili baadae tuwe na mifumo ya kisasa kuhakikisha taka ngumu zinazozalishwa ziwezwe kutengwa na zisionekane kwenye madampona zile zinazooza ziweze kuwa mbolea. “Suala la taka ngumu limekuwa changamoto katika miji mingi sio Tanzania tu,lakini katikanchi mbalimbali kwahiyo tumekuwa na wenzetu kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Rwanda, Kenya, Uganda, Ethiopia, Eswatini, Ghana , Zambia ambao na wao wametuma wawakilishai wao hapa kuja kujadili na kuweza kubadilishana uzoefu”. Amesema Aidha amesema madampo imekuwa mojawapo ya sehemu ambayo ni changamoto na ni gharama katika kuyaendesha katika uksanyaji wa taka ngumu na matokeo yake miji yetu mingi imekuwa ni michafu hivyo kupitia Taasisi hiyo kutoka India ambao wao wamekwenda mbali katika teknolojia hivyo kusaidia kutengeneza mifumo rafiki kwaajili ya kutenga taka ngumu zisiweze kuleta madhara kwenye mazingira. Kwa upande wake Mwakilishi kutoka OR TAMISEMI, Bi.Hawa Mwechaga amesema TAMISEMI inasimamia halmashauri 184 ambako huko kote kuna taka ngumu kwahiyo kwa kila halmashauri wana idara zinazoratibu uzalishaji wa taka ngumu hivyo wanashirikiana na NEMC kuona ni namna gani wanaenda kuboresha Majiji na miundombinu mbalimbali.

Tanzania kwa kushirikiana na Mataifa mbalimbali kutoka Afrika na Kituo cha Sayansi na Mazingira cha India yashiriki Mkutano wenye lengo la kuboresha mfumo wa ukusanyaji taka ngumu kwenye Miji na Majiji ili maeneo hayo yaendelee kuwa safi.

tanzania Verified Tanzania kwa kushirikiana na Mataifa mbalimbali kutoka Afrika na Kituo cha Sayansi na Mazingira cha India yashiriki Mkutano wenye lengo la kuboresha mfumo wa ukusanyaji taka ngumu kwenye Miji na Majiji ili maeneo hayo yaendelee kuwa safi. Pia mkutano huo wamejadili namna ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye taka zinazozalishwa. Kwa kufanya hivyo taka nyingi zitarejerezwa na kiasi kinachobaki kitahifadhiwa kwa namna ambayo ni rafiki kwa mazingira.

NEMC yaingia mkataba kukusanya taka ngumu

Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), limesaini wa ushirikiano na Kituo cha Sayansi na Mazingira (CSE), utakaosaidia baraza hilo kuboresha ukusanyaji wa taka ngumu katika maeneo mbalimbali hasa majiji. Mkataba huo umesainiwa leo Jumatatu, Januari 23, 2023 kati ya Mkurugenzi mkuu wa NEMC, Dk Samuel Gwamaka na Mkurugenzi Mtendaji wa CSE chenye makazi yake nchini India. Hafla hiyo ilikwenda sambamba na mjadala wa siku tatu wa kujadili masuala ya taka ngumu. Katika maelezo yake, Dk Gwamaka amesema taka ngumu bado changamoto sio Tanzania pekee bali katika mataifa mbalimbali, ndio maana shughuli hiyo imehudhuriwa na wawakilishi wa mataifa ya Rwanda, Msumbiji, Ethiopia, Ghana, Zambia Kenya, Uganda na Eswatin. Amesema CSE wamekwenda mbali zaidi hasa katika teknolojia ya ukusanyaji wa taka ngumu, akisema kupitia mkataba watapata uzoefu wa kukabiliana na changamoto hiyo na namna ya kutengeneza mifumo ya kutenganisha taka hizo baada ya kukusanywa hadi kusafirishwa. "NEMC na CSE tunakusudia kujengeana uwezo na uzoefu ikiwa ni pamoja na kufanya tafiti zinazohusiana na miji yetu katika ukusanya wa taka, pia kubadilisha uzoefu ikiwa ni pamoja wataalamu wetu kubadilisha mafunzo au kutembea nchi nyingine kujionea. "Pia kujaribu kuzipa nguvu miji au halmashauri za wilaya ili zisimamie uwezo wa kupata teknolojia na uzoefu kisha kupata tafiti za pamoja za kupunguza taka ngumu kwenda katika madampo ili miji iendelee kuwa safi," amesema Dk Gwamaka. Kwa mujibu wa Dk Gwamaka, mkataba huo ni miaka mitatu, lakini kuna uwezekano wa kuurefusha zaidi ili kuzipa nguvu mamlaka za Serikali za mitaa katika kukabiliana na ukusanyaji wa taka kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Kwa upande wake, Mkurugenzi mtendaji wa CSE, Anumita Chowdhury amesema ushirikiano huo ni muhimu kufahamu na kuzingatia changamoto za kimazingira zinazoambatana na mabadiliko ya mipango na uchafuzi hali ya hewa. "Leo India na Tanzania tunajaribu kutafuta suluhisho la changamoto zetu kwa kufahamu nini kinahitajika katika kudhibiti uchafuzi wa mazingira usiokua na gharama kubwa ambapo tutaweza kufanikisha kwa uwezo wetu. "Mkataba huu umejikita katika kusaidiana na kujifunza kutoka pande zote mbili kwenye usimamizi wa taka ngumu huku tukifahamu kwamba miji yetu inakua kwa haraka," amesema Chowdhury. Amesema taka ni rasirimali ambazo zinahitaji kurejeshwa tena na kuchangia maendeleo, akisema kupitia ushirikiano huo pande zote mbili namna nyumba itakavyopunguza matumizi ya plastiki na taka kukusanywa na kufanywa bidhaa. "Kama tulivyoona India ambapo taka zutumika kutengeneza biogas, hivyo tunaweza pia kutumia njia kama hii Tanzania ili kuondoa madampo," amesema.

NEMC,TAASISI YA MAZINGIRA KUTOKA NCHINI INDIA WASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUKABILIANA NA TAKA NGUMU , KUFANYA TAFITI

MKURUGENZI wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka amesema NEMC pamoja na Center for Science and Environment( CSE) wamekusudia kujengeana uwezo na uzoefu pamoja na kufanya tafiti zinazohusiana na miji yetu katika ukusanyaji taka ngumu Dk.Gwamaka ameyasema hayo leo Januari 23,2023 jijini Dar es Salaam wakati wa NEMC wakisaini ) mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano na taasisi inayojishughulisha na masuala ya kisayansi na kimazingira kutoka nchini India ya Center for Science and Environment ambapo ushirikiano huo utasaidia kufanya maboresho katika ukusanyaji wa taka ngumu. Amefafanua pamoja na mambo mengine nia ya mkataba huo uwe wa miaka mitatu kuanzia sasa lakini kutakuwa na uwezekano kuupeleka mbele zaidi kwa lengo la kuzipa nguvu Mamlaka za Serikali za Mitaa hasa katika majiji, miji pamoja na Wilaya ,ndio maana wakurugenzi wameshirikishwa katika kushuhudia itiwaji saini wa mkataba huo. "Wameshiriki kwenye mkutano huu muhimu kwa ajili ya kuwapa nafasi ya kubadilishana mawazo na uzoefu na hapo baadae tuwe na mifumo ya kisasa kuhakikisha taka ngumu zinazozalishwa ziwezwe kutengwa na zisionekane kwenye madampona zile zinazooza ziweze kuwa mbolea,"amesema. Akieleza zaidi mbele ya waandishi wa habari Dk.Gwamaka amesema taka ngumu imekuwa changamoto katika miji mingi barani Afrika sio Tanzania peke yake na kwamba wamekuwa walishirikiana na nchi nyingine kuangalia namna ya kumaliza changamoto ya uwepo wa taka ngumu Amezitaja baadhi ya nchi ambazo wamekuwa wakibadilishana uzoefu ni Rwanda, Kenya, Uganda, Ethiopia, Eswatini, Ghana , Zambia ambao na wao wametuma wawakilishai wao hapa nchini Tanzaoa kwa lengo la kujadiliana kwa kina. Dk.Gwamaka ameeleza pia madampo imekuwa mojawapo ya sehemu ambayo ni changamoto na ni gharama katika kuyaendesha katika uksanyaji wa taka ngumu na matokeo yake miji yetu mingi imekuwa ni michafu."Hivyo kupitia taasisi hii ya India kwani wenzetu wamekwenda mbali katika teknolojia hivyo kusaidia kutengeneza mifumo rafiki kwaajili ya kutenga taka ngumu zisiweze kuleta madhara kwenye mazingira." Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Mwechaga amesema wanasimamia halmashauri 184 ambako huko kote kuna taka ngumu , hivyo kila halmashauri wana idara zinazoratibu uzalishaji wa taka ngumu hivyo wanashirikiana na NEMC kuona ni namna gani wanaenda kuboresha Majiji na miundombinu mbalimbali. Wakati huo huo Mkurugenzi mtendaji wa CSE, Anumita Chowdhury ametumia nafasi hiyo kueleza kwamba ushirikiano huo ni muhimu kufahamu na kuzingatia changamoto za kimazingira zinazoambatana na mabadiliko ya mipango na uchafuzi hali ya hewa. "India na Tanzania tunajaribu kutafuta suluhisho la changamoto zetu kwa kufahamu nini kinahitajika katika kudhibiti uchafuzi wa mazingira usiokua na gharama kubwa ambapo tutaweza kufanikisha kwa uwezo wetu.Mkataba huu umejikita katika kusaidiana na kujifunza kutoka pande zote mbili kwenye usimamizi wa taka ngumu." Chowdhury amesema taka ni rasirimali ambazo zinahitaji kurejeshwa tena na kuchangia maendeleo huku akisisitiza kupitia ushirikiano huo pande zote mbili namna nyumba itakavyopunguza matumizi ya plastiki na taka kukusanywa na kufanywa bidhaa.

MCD is hard at work but Delhi’s looming landfills unlikely to go by G20 summit

MCD aims to flatten Okhla and Bhalswa landfills by Dec 2023, and Ghazipur by March 2024. G20 has led to calls to finish Okhla work by Sept. Experts say even 5 years not enough. New Delhi: If you pinch your nose shut, Delhi’s three landfill sites — in Ghazipur, Okhla, and Bhalswa — almost look like undulating hills. Hopes are now high that these eyesores will soon meet their end. The Municipal Corporation of Delhi (MCD) began work last year to flatten the landfills, and with the G20 Summit coming up, there are calls for it to get the job done by September for Okhla. Experts, however, believe that none of the proposed deadlines are realistic. The MCD deadlines for the three sites are December 2023 for the landfills in Okhla (46 acres) and Bhalswa (36 acres), and March 2024 for Ghazipur (70 acres). The landfills exceeded their capacity in 2010, 2003 and 2002 respectively. All three comprise lakhs of tons of “legacy waste”, or garbage that has been piled up for years, but they continue to be receptacles of new trash too. With the G20 around the corner, officials from the Lieutenant Governor’s secretariat have said that the authorities have been asked to complete the work at the Okhla landfill before the events commence. Delhi BJP working president Virender Sachdeva even claimed in December last year that the municipal corporation had declared that the Okhla landfill site would be cleared before the G20 summit. The Swachh Bharat Mission (Urban) 2.0 has also issued a separate deadline for all legacy dumpsites to be remediated by 2026. However, experts at the non-profit research organisation Centre for Science and Environment (CSE) told ThePrint that none of these deadlines will be met until a complete ban on the fresh dumping of garbage is enacted and the current capacity of garbage being processed is increased. It will take over five years to reach the MCD’s goal, they said. Mountains that just keep growing An official from MCD’s Department of Environment Management Services (DEMS), told ThePrint that on 3 November 2022, the municipal body awarded tenders to three companies to process 30 lakh metric tons (1 metric ton = 1000 kg) legacy waste at each of the three landfill sites. When this target is met, the contract will be renewed for additional 15 lakh MTs. GreenTech Environ Management, the company in charge of the Okhla site, began work on 7 November. Alfa Therm Limited was awarded the tender for Bhalswa, and Sudhakara Infratech for Ghazipur. Legacy waste is solid waste that has been in landfills for decades as opposed to municipal solid waste (MSW), which is the fresh waste generated every day in a city. A section of the MSW, that is not processed, goes to landfills and eventually becomes legacy waste. According to the data provided by DEMS, Delhi generates approximately 11,000 metric tons per day (TPD) of MSW. Officials did not confirm how much of this becomes legacy waste. “The garbage continues to be dumped in landfills because of the low capacity in the city to process the massive amount of garbage generated. But steps are being taken, especially trommeling, which is targeting the legacy waste,” said a DEMS official. He added that out of about a total of 203 lakh MTs of legacy garbage dumped in the three landfills as on September 2022, just about 33.5 per cent (68 lakh metric tonnes) has been processed so far by the companies. But these figures do not account for the fresh dumping of garbage in the last few months. The initial deadlines, MCD spokesperson Amit Kumar told ThePrint, have been decided by MCD after a volumetric assessment (through drone survey) in September last year to understand how much of it can be cleared. “Accordingly, we have made the work map based on how much can be handled every day,” he said. Processing of legacy waste Around 16,000 TPD of legacy waste is being tromelled by the three companies. Tromelling refers to the process of sieving the waste through trommel machines and segregating it into three categories — inert waste (not chemically nor biologically reactive and does not decompose or does so very slowly), construction and demolition (C&D) like concrete, building debris and rubble, and segregated combustible fraction (SCF). The inert waste is given to Central Public Works Department (CPWD) officials and municipal engineers, C&D waste is bought by construction companies/private players, and SCF is reused, recycled and turned into fuel by cement industries or thermal industries, according to DEMS. Dealing with fresh trash Clearing the landfills also means making sure that the maximum amount of fresh waste is processed so that it doesn’t add to the garbage mountains. This is where waste-to-energy plants (WTE) come in. WTEs use waste as a fuel for generating power like other power stations use coal, oil or natural gas. Whatever waste cannot be used in any industry, has a high calorific value (heat value) and is uncontaminated, is sent to these plants There are currently four operational WTEs but their operational capacity still can’t keep up with the amount of garbage generated, leading to the excess being dumped in landfills.

MCD is hard at work but Delhi’s looming landfills unlikely to go by G20 summit

MCD aims to flatten Okhla and Bhalswa landfills by Dec 2023, and Ghazipur by March 2024. G20 has led to calls to finish Okhla work by Sept. Experts say even 5 years not enough. New Delhi: If you pinch your nose shut, Delhi’s three landfill sites — in Ghazipur, Okhla, and Bhalswa — almost look like undulating hills. Hopes are now high that these eyesores will soon meet their end. The Municipal Corporation of Delhi (MCD) began work last year to flatten the landfills, and with the G20 Summit coming up, there are calls for it to get the job done by September for Okhla. Experts, however, believe that none of the proposed deadlines are realistic. he MCD deadlines for the three sites are December 2023 for the landfills in Okhla (46 acres) and Bhalswa (36 acres), and March 2024 for Ghazipur (70 acres). The landfills exceeded their capacity in 2010, 2003 and 2002 respectively. All three comprise lakhs of tons of “legacy waste”, or garbage that has been piled up for years, but they continue to be receptacles of new trash too. With the G20 around the corner, officials from the Lieutenant Governor’s secretariat have said that the authorities have been asked to complete the work at the Okhla landfill before the events commence. Delhi BJP working president Virender Sachdeva even claimed in December last year that the municipal corporation had declared that the Okhla landfill site would be cleared before the G20 summit. The Swachh Bharat Mission (Urban) 2.0 has also issued a separate deadline for all legacy dumpsites to be remediated by 2026. However, experts at the non-profit research organisation Centre for Science and Environment (CSE) told ThePrint that none of these deadlines will be met until a complete ban on the fresh dumping of garbage is enacted and the current capacity of garbage being processed is increased. It will take over five years to reach the MCD’s goal, they said.

Delhi proposes “community solar rooftops” to encourage renewable growth

The state’s last solar policy in 2016 targetted achieving 1,000 Megawatt of rooftop solar by 2020. However, till now, it has been able to achieve only around 230 MW from the rooftop sector. -In its latest draft Solar Policy 2022, the Delhi government has proposed the concept of community solar rooftops for individual consumers who do not have the option or space to setup solar panels. -Experts cite a lack of attractive incentives for domestic rooftop solar projects and competition from the existing free grid electricity scheme for the poor uptake of solar rooftop systems by consumers. By Manish Kumar The National Capital of Delhi’s last Solar Policy in 2016 had announced a target of around 1,000 Megawatt (MW) of installed capacity of solar energy from solar rooftop setups, by the end of 2020. However, according to the government, so far, it has achieved a capacity of 230 MW of rooftop solar – that’s less than 25% of the target that was supposed to be met three years ago. This is despite incentives offered to consumers and industries as well as the decision to make solar rooftops mandatory for all government buildings with more than 500 square meters of roof space. Even as the 2016 Policy’s 1,000 MW target is yet to be achieved, the Delhi government has now brought out a new draft Solar Policy 2022 which proposes to increase its growth of solar rooftops. The draft policy now targets an installed capacity of solar rooftops to 750 MW and adding 5,250 MW of utility-scale solar projects from outside Delhi – making it a total of 6,000 MW installed solar capacity – in the next three years (by 2025-26). The policy says that while currently nine percent of Delhi’s total annual electricity demand is met through rooftop and utility scale solar, it plans to increase the share of solar energy in annual electricity, to 25 percent by the end of 2025. The policy aims, by the end of 2025, to have higher solar installed capacity than thermal. The government has also introduced the concept of community solar rooftops where people who, either do not have rooftops, have smaller rooftops or live in apartments and complexes, can come together to install solar panels at one site and share the benefits based on their shared investments. This would be possible through group net-metering or virtual metering. The government claims, in the policy, that it is aiding domestic consumers to avoid the large upfront cost of setting up rooftop solar by offering a Renewable Energy Service Company (RESCO) Model. In this model, a solar developer bears the upfront cost for installing the system at the consumer’s premises and charges a fixed fee. The policy proposes a “hybrid” version of the RESCO model where it combines the net-metering agreements between the consumers and the discoms with the power purchase agreements between the discoms and solar developers. In the policy, the Delhi government also claims it is enabling generation-based incentives for commercial and industrial consumers up to 500 MW of first deployment, in addition to the support offered to domestic consumers. It also introduces the facility of free assessment of rooftops by prospective consumers and the creation of a solar card report/solar score that talks about the potential of solar rooftops on that site. Can we expect scaling up of rooftop solar? Experts working in the sector said that some new elements in the 2022 draft policy are likely to give an impetus to the sector. Binit Das, Deputy Programme Manager (Renewable Energy) at the Centre for Science and Environment (CSE) told Mongabay-India that the main hurdles that solar rooftop in cities such as Delhi faces are the higher upfront cost for domestic consumers, delayed disbursement of rooftop solar subsidies and the loss of revenues of discoms with the rise of solar consumers in the city. He said that in the national capital, the commercial and industrial players with higher power demands adopted solar power more to reduce their power bills. “The new policy, however, offers some new solutions like ‘hybrid RESCO model’ where the solar developers (RESCO) install solar rooftops on consumers’ rooftop and come into contact with the discoms. Here the developer will sell the power to the discoms via PPA rather than the consumer directly, unlike the wait it is in the conventional RESCO model. Consumers will pay discoms and receive net metering benefits on their bill. The discoms meanwhile will take a decision on the selection of the developer and choose the tariff too. This will help the discoms as well as consumers,” he told Mongabay-India. He also said that the policy’s proposal of generation-based incentives to residential consumers is more effective and cost saving for the government compared to a one-time subsidy. Compared to the previous policy of 2016, where the generation-based incentive was Rs. 2 per unit of solar energy produced, the latest draft policy has increased it to Rs. 3 per unit of solar energy produced for solar rooftops, with a maximum power of 3kW. Generation based incentives are given to solar consumers based on the generation of solar energy. “Installation of solar plants and generating are different things. In many cases due to low maintenance, many solar plants do not produce solar energy but if they get incentives for each unit of generation, this can encourage many to maintain and maximise generation and increase the overall production of solar energy in the state,” Das added. In addition to the incentives, the policy also talks about waiving taxes and duties for solar generation. Other experts said that the concept of “community solar” is somewhat new to Delhi and most of the Indian states and fits well in highly populated urban areas like the national capital where there are higher energy demands. According to data, Delhi has a higher per capita electricity demand than the national average. Ashwani Ashok, Head of Clean Energy at the Centre for Environment and Energy Development (CEED) told Mongabay-India the concept of community solar rooftops can cater to the needs of several interested solar consumers who could not opt for solar rooftop systems so far due to the dearth of private open spaces. These consumers include people living in apartments, multi-storeyed buildings or in places with small size roofs or obstructed roofs among others. Ashok said that if executed well, this policy could give an impetus to the overall growth of rooftop solar in Delhi. Ashok however talked about challenges in the new draft policy. “The growth of solar in Delhi always faced competition with free grid electricity up to 100 units/month for domestic consumers. Such consumers (those using grid electricity) barely took the option of bearing the higher upfront cost of solar rooftops. This policy does not offer very attractive capital incentives proposed by the state. Also, the generation-based incentives are meagre for smaller households and limited for five years only, though the plant would produce electricity for 25 years. Many would not even qualify for getting these incentives. If we want to boost RTS in Delhi, we expect more incentives on capital cost as this is what the majority of the consumers look for,” he said. He also said that despite being on paper even in the 2016 policy, the RESCO model failed to attract many domestic consumers as the developers found such models financially not viable for smaller units. The model remained confined to the industrial sector and social sector clean energy projects like PM-KUSUM, a solar-irrigation project of the federal Indian government. With limited space, unsuitable for large-scale solar projects, Delhi is focussing on solar rooftops to meet its solar energy demand. The draft policy 2022 notes that the majority of the proposed solar generation (5250 MW) would be done through projects outside the state. This means solar energy generated through solar plants could be imported from other states, just as how the state had been importing electricity from other states for several years. Energy transition of Delhi In recent research on energy transition in Delhi, the researchers from the LUT University, Finland, found that under the best policy scenario of 100 percent transition by 2050, Delhi would be deriving most of its power from solar and that would come mostly from the prosumers (those who produce and consume energy), besides the imports from other neighbouring renewable-rich states like Rajasthan and Himachal Pradesh. Manish Ram, one of the co-authors of the study, told Mongabay-India that owing to the dearth of space in Delhi, large utility-scale solar projects cannot be built there and hence, there is potential for the rise of solar rooftop and its consumers. According to the government’s 2016 Policy, the capital, with more than 300 days of sunny days, has a total potential of 2,500 MW of rooftop solar. This includes the highest 49 percent potential in domestic buildings, 26 percent in government offices, and 25 percent in commercial and industrial units. “The best available option under such circumstances in Delhi is to use the rooftop available in residential and commercial buildings where you can utilise the potential. Delhi still imports electricity largely from other states and in the future also it is likely to remain a net importer of energy. It can also invest in power plants in Rajasthan, Haryana, and other nearby areas and can have PPAs with them to increase its clean energy mix basket. The cost of clean power production is likely to be lower in renewable-rich states like Rajasthan. Delhi can benefit from power evacuation from such areas,” Ram told Mongabay-India.

कड़ी मेहनत से काम पर लगी है MCD, लेकिन G20 समिट से पहले कूड़े के पहाड़ों का साफ होना संभव नहीं दिखता

एमसीडी का लक्ष्य ओखला और भलस्वा स्थित लैंडफिल साइट्स को दिसंबर 2023 तक और गाजीपुर वाले लैंडफिल साइट को मार्च 2024 तक समतल कर देने का है. जी-20 सम्मलेन के चलते ओखला वाले काम को सितंबर 2032 तक खत्म करने की मांग की का रही है, मगर विशेषज्ञों का कहना है कि इसके लिए तो 5 साल भी पर्याप्त नहीं हैं. नई दिल्ली: अगर आप अपनी नाक बंद कर लें, तो दिल्ली के तीन लैंडफिल साइट (कूड़ा जमा करने वाले स्थान) – गाजीपुर, ओखला और भलस्वा – कुछ-कुछ लहरदार पहाड़ियों की तरह ही दिखते हैं. पर अब इस बात की उम्मीदें काफी हद तक बढ़ गईं हैं कि इन आंखों में चुभने वाले कूड़े के पहाड़ों का जल्द ही अंत हो जायेगा. दिल्ली नगर निगम (म्युनिसिपल कोर्पोरशन ऑफ़ दिल्ली-एमसीडी) ने इन लैंडफिल साइट्स को समतल करने के लिए पिछले साल ही काम शुरू कर दिया था, और जी- 20 शिखर सम्मेलन के चलते ओखला वाले काम को सितंबर 2023 तक पूरा किये जाने की मांग की जा रही है. हालांकि, विशेषज्ञों का मानना है कि प्रस्तावित समय सीमा में से कोई भी वास्तविक नहीं है. इन तीनों लैंडफिल साइटों को समतल करने के लिए एमसीडी द्वारा निर्धारित अंतिम समय सीमा ओखला (46 एकड़) और भलस्वा (36 एकड़) के मामले में दिसंबर 2023, और गाजीपुर (70 एकड़) के लिए मार्च 2024 है. ये लैंडफिल क्रमशः 2010, 2003 और 2002 में अपनी क्षमता से परे चले गए थे. इन तीनों में लाखों टन का ‘लीगेसी वेस्ट या पुराना कचरा’ जमा है, लेकिन फिर भी वे नया कचरा इकठ्ठा करने की जगह भी बने हुए हैं. जी- 20 शिखर सम्मलेन के नजदीक आने के साथ ही दिल्ली के उप-राज्यपाल (लेफ्टिनेंट गवर्नर) के सचिवालय के अधिकारियों का कहना है कि सम्बंधित प्राधिकरणों को इस समारोह के शुरू होने से पहले ही ओखला लैंडफिल साईट वाले काम को पूरा करने के लिए कहा गया है. दिल्ली भाजपा के कार्यकारी अध्यक्ष वीरेंद्र सचदेवा ने तो पिछले साल दिसंबर में यहां तक दावा किया था कि नगर निगम ने घोषणा कर रखी है कि जी-20 शिखर सम्मेलन से पहले ओखला लैंडफिल साइट को साफ कर दिया जाएगा. उधर, स्वच्छ भारत मिशन (शहरी) 2.0 ने साल 2026 तक सभी लेगेसी डंपसाइटों (पहले से भारी मात्रा में कूड़ा जमा किये गए स्थानों) को दुरुस्त करने के लिए एक अलग समय सीमा भी जारी की हुई है. हालांकि, गैर-लाभकारी शोध संगठन ‘सेंटर फॉर साइंस एंड एनवायरनमेंट (सीएसई)’ के विशेषज्ञों ने दिप्रिंट को बताया कि इनमें से किसी भी समय सीमा को तब तक पूरा नहीं किया जा सकता, जब तक कि नए सिरे से कचरे को वहां जमा (डंप) किये जाने पर पूर्ण प्रतिबंध लागू नहीं किया जाता है और साथ ही कचरे को संसाधित करने की वर्तमान क्षमता में वृद्धि नहीं की जाती है. उन्होंने कहा कि एमसीडी को अपने लक्ष्य तक पहुंचने में पांच साल लगेंगे. कूड़े के पहाड़ जो बस बढ़ते ही रहते हैं एमसीडी के पर्यावरण प्रबंधन सेवा विभाग (डिपार्टमेंट ऑफ़ एनवायरनमेंट मैनेजमेंट सर्विस- डीईएमएस) के एक अधिकारी ने दिप्रिंट को बताया कि नगर निकाय ने 3 नवंबर 2022 को, इन तीनों लैंडफिल साइट्स में से प्रत्येक से 30 लाख मीट्रिक टन (1 मीट्रिक टन = 1000 किलोग्राम) पुराने कचरे को संसाधित करने के लिए तीन कंपनियों को उनकी निविदा के आधार पर अनुबंध प्रदान किये थे. जब यह लक्ष्य पूरा हो जाएगा तो अतिरिक्त 15 लाख मीट्रिक टन के लिए भी यही अनुबंध फिर से नए तरह से लागू कर दिया जाएगा.

Global Micronutrient Fertilizer Market - SIZE, SHARE, COVID-19 IMPACT & FORECASTS UP TO 2028

The Global Micronutrient Fertilizer Market is projected to register a CAGR of 7.65%. Key Highlights. Largest Segment by Type - Zinc : Zn is the most applied micronutrient fertilizer due to the increasing Zn deficiencies in soils of major growing regions. New York, Jan. 20, 2023 (GLOBE NEWSWIRE) -- Reportlinker.com announces the release of the report "Global Micronutrient Fertilizer Market - SIZE, SHARE, COVID-19 IMPACT & FORECASTS UP TO 2028" - https://www.reportlinker.com/p06381436/?utm_source=GNW The application of Zn is proven to give higher yields. Fastest growing segment by Type - Iron : The alkaline soils with high pH are deficient in iron micronutrients. The degrading health and quality of agricultural soils are declining the availability of iron. Largest Segment by Crop Type - Field Crops : Field crops are widely cultivated worldwide and are a staple food in many parts of the world. They account for a maximum share by area in most agricultural countries. Largest segment by Country - India : Micronutrient fertilizers are being used increasingly as Indian soils are deficient in boron (47%), iron (37%), and zinc (39%), as per the Center for Science and Environment. Micronutrient Fertilizer Market Trends Zinc is the largest segment by Product. Micronutrients play an important role in many plant metabolic activities, such as cell wall formation, pollen formation, germination, chlorophyll production, nitrogen fixation, and the synthesis of the essential parts of proteins. The global micronutrient fertilizer market is anticipated to register a CAGR of 3.0% during the forecast period. Zinc accounted for a share of 38.3% of the global micronutrient fertilizer market in 2021. Of the total share held by zinc fertilizers, conventional zinc fertilizers accounted for about 65.7%, and specialty zinc fertilizers accounted for about 34.3%. Specialty zinc fertilizers have the advantage of uniform distribution and fast acting on crops compared to conventional fertilizers. The Asia-Pacific region dominated the global market, accounting for 31.6% of the market share in 2021. The distribution network of micronutrient fertilizers is well-established in the major Asia-Pacific countries, further boosting the market for various micronutrient fertilizer products in the region. The increasing demand for food grains, coupled with decreasing nutrients in the soil, is one of the major factors driving the growth of the market in the region. Recent studies have indicated that zinc deficiency is China’s most widespread micronutrient deficiency. More than 50% of the arable soils are low in zinc, thereby limiting agricultural growth and improvement in human nutrition. Widespread micronutrient deficiencies across the world are becoming a rising concern for plant health, coupled with increasing encouragement from various government agencies and other organizations to increase the use of micronutrients to enhance plant and soil health. These factors are driving the market growth. Asia-Pacific is the largest segment by Region. The global micronutrient fertilizer market grew at a stable rate during the study period, with a value of USD 3.61 billion in 2021 and an overall consumption volume of 1.5 million metric ton. Asia-Pacific occupied the largest market share of 38.8% in 2021, followed by Europe and North America. In Asia-Pacific, countries such as India and China are the major micronutrient fertilizer markets, accounting for 36.0% and 17.0% of the market share in 2021. The increase in micronutrient deficiency in Chinese crops resulted in 73.6% of micronutrient fertilizer consumption in 2021 in China. The Ministry of Agriculture (MoA) of China added zinc, at a rate of 15-30 kg ZnSO4/ha, to its national fertilizer recommendation, which was recently extended for summer crops like rice and corn. France is the third-largest market for micronutrient fertilizer in Europe after Russia, with an estimated market value of USD 121.9 million in 2022. The increasing area under cultivation of horticulture crops, which increased from 1.2 million hectares in 2017 to 1.3 million hectares in 2021, is further expected to increase in the following years. Apart from Asia, zinc and iron deficiency in the soil is quite widespread in Sub-Saharan Africa and the northwest of South America. The overall advantages of micronutrient fertilizers are being widely accepted and recognized currently. The global export value for zinc in 2021 amounted to USD 1.6 million, with the Netherlands as the top exporter of the micronutrients, with a value of USD 275.6 thousand. The global micronutrient fertilizer market is growing because of the widespread micronutrient deficiencies around the world, with iron and zinc deficiencies becoming a rising concern for plant health, and also due to the increasing encouragement from various government agencies to increase the use of micronutrients. Micronutrient Fertilizer Market Competitive Analysis The Global Micronutrient Fertilizer Market is fairly consolidated, with the top five companies occupying 102.95%. The major players in this market are Coromandel International Limited, K+S AKTIENGESELLSCHAFT, Koch Industries Inc., The Mosaic Company and Yara International (sorted alphabetically).

UP officials to study TN sanitation model

Lucknow: Fifteen officers from UP are on a three-day exposure visit to Tamil Nadu to adopt the best practices being followed for citywide inclusive sanitation. The group of IAS and PCS officers will visit Thuraiyur and Kodappu in Tiruchirappalli to learn how an affordable circular septic tank can be developed to handle the waste generated by the urban poor. Officers from Lucknow, Ghaziabad, Varanasi and Ayodhya have gone for the visit to handle the sanitation problems affecting slums and congested colonies. Heads of the ULBs and Jal Nigam engineers will visit RMS colony in Anna Nagar in Thanjavur. Of total 84 households in the colony only 16 ones have toilets. The remaining 68 depend on community toilet. The containment unit of the community toilet in the colony was desludged every two days due to the fast-filling rate. To reduce the frequency of desludging, a primary settling tank was set up while converting the existing septic tank into an anaerobic baffle reactor integrated with filter chambers. The frequency of desludging has improved to once in three years. Director of the urban local bodies Neha Sharma said the Centre for Science and Environment, an NGO, will take the group through the low cost models implemented in Tamil Nadu. CSE Senior programme manager, who works with UP government, Subrata Chakraborty said the three-day tour will end on January 20.